logo
swahili
AFRIKA
Rais wa Kenya atoa salamu za Ramadhan
Ramadhan ya mwaka huu inatarajiwa kuanza Machi 1 na kukamilika Machi 30. Mwezi huo wa mfungo unafikia mwisho kwa kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr, ambapo Waislamu hujumuika pamoja katika ibada.
Rais wa Kenya atoa salamu za Ramadhan
Ushirikina una nafasi gani michezoni?
Unaruhusiwa kuziita ‘ndumba’, ‘kamati za ufundi’, ‘Sangoma’, Juju na majina mengi utakavyo, lakini ukweli unabaki pale pale, kuwa kuna uhusiano wa karibu kati ya michezo na imani za kishirikina.
Ushirikina una nafasi gani michezoni?
Rwanda yaambia nchi za Ulaya zisichanganye siasa na masuala ya usalama.
Februari 24, bunge la mataifa ya Ulaya lilijadili uwezekano wa kuiwekea Rwanda vikwazo. Wabunge walifikia makubaliano ya awali tu wakisema maamuzi yanatakiwa kuchukuliwa.
Rwanda yaambia nchi za Ulaya zisichanganye siasa na masuala ya usalama.
WHO inasema Mpox bado ni ugonjwa wa dharura
Nchi 22 barani zimeathiriwa na virusi vya Mpox huku 14 zikiwa katika hatua ya mlipuko na zingine nane katika hatua ya udhibiti.
WHO inasema Mpox bado ni ugonjwa wa dharura
DRC yafanya uchunguzi wa ugonjwa usiojulikana
Mlipuko wa hivi majuzi ulitokea katika kituo cha afya cha Basankusu, ambapo wiki iliyopita watu wengine 141 waliugua, ingawa hakuna vifo vilivyoripotiwa.
DRC yafanya uchunguzi wa ugonjwa usiojulikana
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us