logo
swahili
MICHEZO
Ushirikina una nafasi gani michezoni?
Unaruhusiwa kuziita ‘ndumba’, ‘kamati za ufundi’, ‘Sangoma’, Juju na majina mengi utakavyo, lakini ukweli unabaki pale pale, kuwa kuna uhusiano wa karibu kati ya michezo na imani za kishirikina.
Ushirikina una nafasi gani michezoni?
Galatasaray yamshtumu Mourinho kwa 'matamshi ya kibaguzi'
Galatasaray wametoa taarifa kuhusu matamshi ya meneja wa Fenerbahce, Jose Mourinho, baada ya mechi yao ya Ligi Kuu ya Uturuki, Super Lig siku ya Jumatatu.
Galatasaray yamshtumu Mourinho kwa 'matamshi ya kibaguzi'
Diamond Platinumz, ateuliwa kuchangamsha CAF Awards
Tuzo hizo zinawatambua wachezaji bora katika vipengele mbalimbali, huku washindi watano wakiwania Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka na watatu walioteuliwa kuwania Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanawake.
Diamond Platinumz, ateuliwa kuchangamsha CAF Awards
Saudi Arabia mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2034
Saudi Arabia inakuwa nchi ya pili kutoka eneo la Mashariki ya Kati, kuandaa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, baada ya Qatar kufanya hivyo mwaka 2022.
Saudi Arabia mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2034
Kocha wa 'Harambee Stars', Engin Firat ajiuzulu
Chini ya uongozi wa Firat, Harambee Stars ilishindwa kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), huku pia ikishindwa kushiriki michuano ya CHAN 2024.
Kocha wa 'Harambee Stars', Engin Firat ajiuzulu
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us