logo
swahili
SIASA
Rwanda yaambia nchi za Ulaya zisichanganye siasa na masuala ya usalama.
Februari 24, bunge la mataifa ya Ulaya lilijadili uwezekano wa kuiwekea Rwanda vikwazo. Wabunge walifikia makubaliano ya awali tu wakisema maamuzi yanatakiwa kuchukuliwa.
Rwanda yaambia nchi za Ulaya zisichanganye siasa na masuala ya usalama.
Mataifa ya Kiislamu yaongoza diplomasia duniani
Kutoka Ulaya hadi Mashariki ya Kati mpaka Afrika, wanadiplomasia Waislamu wanajaza ombwe lililoachwa na nchi za Magharibi na kuongoza juhudi za kimataifa za kupata makubaliano.
Mataifa ya Kiislamu yaongoza diplomasia duniani
Hakuna nguvu inayoweza kuwalazimisha Wapalestina kuondoka katika nchi yao
"Hakuna aliye na uwezo wa kuwaondoa watu wa Gaza kutoka katika nchi yao ya milele, Palestina, ikiwa ni pamoja na Gaza, Ukingo wa Magharibi, na Jerusalem Mashariki, ni mali ya Wapalestina," anasema Recep Tayyip Erdogan.
Hakuna nguvu inayoweza kuwalazimisha Wapalestina kuondoka katika nchi yao
Maoni
Athari ya vikwazo kwa nchi za Afrika
Marekani na mataifa ya Umoja wa Ulaya yanadai kuwa vikwazo vina lengo la kuimarisha na kurejesha amani na usalama wa kimataifa kwa mujibu wa kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Athari ya vikwazo kwa nchi za Afrika
'Black Tax': Msumeno unaokata pande mbili watishia Diaspora
Katika baadhi ya matukio, 'Black Tax' inakuza tabia ya kutegemea cha ndugu, hivyo kuchochea tabia ya kutokujitegemea kifedha. Kutozingatia mipaka au matarajio ya kujitosheleza kunaweza kusababisha chuki au migogoro ndani ya familia.
'Black Tax': Msumeno unaokata pande mbili watishia Diaspora
Ukimya kuhusu vita vya Sudan waiweka dunia hatarini
Kushindwa kwa vyombo vya habari vya kimataifa kuangazia mapigano yanayoendelea nchini Sudan ni suala linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa.
Ukimya kuhusu vita vya Sudan waiweka dunia hatarini
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us