logo
swahili
UTURUKI
Uturuki yaitarajia Umoja wa Ulaya kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mahusiano— Erdogan
Uhuishaji wa mahusiano kati ya Ankara na Umoja wa Ulaya ni wa manufaa wa pande zote mbili, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alimueleza Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Antonio Costa.
Uturuki yaitarajia Umoja wa Ulaya kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mahusiano— Erdogan
Uturuki yalaani mpango wa Israeli wa upanuzi wa milima ya Golan
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imelaumu uamuzi wa Israeli wa kupanua eneo la Golan.
Uturuki yalaani mpango wa Israeli wa upanuzi wa milima ya Golan
MAONI
IGAD yaipongeza Uturuki kwa kupatanisha Somalia na Ethiopia
Jumuiya ya Mamlaka ya Kimataifa kuhusu Maendeleo (IGAD) inasema Azimio la Ankara linaashiria hatua muhimu kuelekea kuimarisha mfumo wa kijamii kati ya Somalia, Ethiopia.
IGAD yaipongeza Uturuki kwa kupatanisha Somalia na Ethiopia
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us