Opinion
Malkia wa taarabu, Khadija Kopa
Mbali na kushiriki kutunga nyimbo za Taarab kwa ajili ya kikundi cha TOT, Khadija Kopa pia alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, alishirikiana na Kapteni Komba kutunga nyimbo za hamasa za chama hicho pamoja kuendeleza vipaji vya utunzi, uimbaji, uchezaji ala na uigizaji.Mbali na kushiriki kutunga nyimbo za Taarab kwa ajili ya kikundi cha TOT, Khadija Kopa pia alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, alishirikiana na Kapteni Komba kutunga nyimbo za hamasa za chama hicho pamoja kuendeleza vipaji vya utunzi, uimbaji, uchezaji ala na uigizaji.