logo
swahili
MAZINGIRA

Mazingira

Uchomaji maiti barani Afrika: Vuta nikuvute na Utamaduni
Nchini Kenya na kwa hakika sehemu nyingi za Afrika, shughuli za mazishi sio tu mila bali ni suala la kijamii linaloheshimu mababu na kudumisha utamaduni.
Uchomaji maiti barani Afrika: Vuta nikuvute na Utamaduni
Ubaguzi wa rangi, uchovu na kutojali: Kwa nini ulimwengu umeisahau Sudan
Sudan inakabiliwa na njaa mbaya zaidi duniani na mzozo wa watu kuyahama makazi yao, huku mamilioni wakiteseka kutokana na njaa na uhamiaji wa kulazimishwa. Hata hivyo bado hakuna majibu ya kuridhisha kutoka jumuiya ya kimataifa.
Ubaguzi wa rangi, uchovu na kutojali: Kwa nini ulimwengu umeisahau Sudan
Kimbunga Chido: Mafuriko nchini Madagaska huku Comoro ikifunga viwanja vya ndege
Zaidi ya watu milioni mbili wanaweza kuathirika wakati Chido atakapotua katika bara hilo.
Kimbunga Chido: Mafuriko nchini Madagaska huku Comoro ikifunga viwanja vya ndege
Tanzania yatoa tahadhari ya kimbunga CHIDO
Kulingana Mamlaka ya Hali ya Hewa ya nchi hiyo (TMA), kimbunga hicho kinatarajiwa kutokea katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar, siku ya Disemba 13.
Tanzania yatoa tahadhari ya kimbunga CHIDO
Majanga ya Kimazingira yaliyotikisa Afrika 2024
Kuanzia mafuriko, mitetemeko ya ardhi na maporomoko ya udongo, Afrika imepata pigo katika athari za majanga ya Kimazingira yaliyosababisha uharibifu na hasara sio kwa uhai pekee bali miundo mbinu na rasli mali zake.
Majanga ya Kimazingira yaliyotikisa Afrika 2024
Nini suluhu ya vita nchini Sudan?
Wataalamu wanaamini kuwa njia pekee ya kumaliza vita nchini Sudan ni kuhusisha kikamilifu wadau wa ndani na nje ya nchi hiyo.
Nini suluhu ya vita nchini Sudan?
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us