Opinion
Wafanyakazi Rwanda waomba nyongeza ya mishahara
Wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi nchini Rwanda wanaomba kuongezwa kwa viwango vya misharaha kabla ya serikali kuzingatia mapendekezo ya nyongeza ya michango ya pensheni.Wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi nchini Rwanda wanaomba kuongezwa kwa viwango vya misharaha kabla ya serikali kuzingatia mapendekezo ya nyongeza ya michango ya pensheni.