
05:23
Palestina ya MarekaniPalestina ya Marekani
Hii ni Palestina, lakini si ile unayoifahamu. Palestine hii ni kijiji kidogo katikati ya Marekani, pembezoni mwa Jimbo la Illinois. Ni jamii yenye amani na usalama ikiwa na wakazi chini ya elfu mbili. Mahali ambapo "watu wote wanajuana".Hii ni Palestina, lakini si ile unayoifahamu. Palestine hii ni kijiji kidogo katikati ya Marekani, pembezoni mwa Jimbo la Illinois. Ni jamii yenye amani na usalama ikiwa na wakazi chini ya elfu mbili. Mahali ambapo "watu wote wanajuana".