logo
swahili
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
09:22
Maisha
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Katika ulimwengu wa leo, uzuri uko kila mahali—kwenye simu zetu, kwenye mitandao yetu ya kijamii, na kwenye kila jukwaa tunalopitia. Mitandao ya kijamii na washawishi wanaunda jinsi wasichana wadogo wanavyojiona. Kinachoweza kuanza kama burudani ya kutizama video za uzuri kinaweza kugeuka haraka kuwa uraibu wa utunzaji wa ngozi. Nini kinatokea pale wasichana wanapoanza kufuata viwango vya uzuri vilivyoundwa kwa ajili ya watu wazima?
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us