logo
swahili
Je, miaka ni nambari tu?
05:34
Maisha
Je, miaka ni nambari tu?
Mara moja kwa mwaka, tunasherehekea siku yetu ya kuzaliwa! Wakati mwingine, ni sherehe ya furaha inayoashiria hatua muhimu maishani. Wakati mwengine, ni ukumbusho wa huzuni kwamba tunazeeka. Lakini ni lini hasa tunapokuwa "wazee"? Je, miaka ni nambari tu, au ni jinsi tunavyojisikia?
Tazama TRT Global. Shiriki maoni yako!
Contact us