tokea masaa 11
Zaidi ya watu 50 wamefariki kwa ugonjwa usiojulikana kaskazini magharibi mwa DRC
Chanzo cha ugonjwa huo hakijulikani, ingawa ripoti zinasema kuwa kuna watoto watatu waliosemekana kufariki baada ya kula popo aliyekufa.
Ugonjwa huo umethibitishwa kuwa si malaria wala marburg.
Disemba 2024, ugonjwa ambao haukujulikana nchini DRC ulikuja kutambulika kama malaria.